MIMI {{$view_trip_performance->driver}} NINAYENDESHA GARI NA
{{$view_trip_performance->truck}} NA TELA NA {{$view_trip_performance->trailer}} NIMEPEWA DIESEL LITA ……………. NA IMEBAKI LITA ……… KWA AJILI YA SAFARI KUTOKA MOROGORO KWENDA {{$view_trip_performance->destination}},{{$view_trip_performance->destination_country}} NA MZIGO NA KURUDI MOROGORO.
DIESEL NILIYOPEWA NIMERIDHIKA NAYO NA INANITOSHA KWA SAFARI YOTE NILIYO PANGIWA. PIA DIESEL HII IPO CHINI YA DHAMANA YANGU NA MZIGO UKO SALAMA NA HAUNA UHARIBIFU WOWOTE.WAKATI WA USHUSHAJI/KUPAKUA MZIGO IKITHIBITIKA UPUNGUFU WOWOTE UTAKAOTOKEA AU UPOTEVU WOWOTE WA MZIGO,UHARIBIFU AU KULOWESHA MZIGO NILIOPAKIA NIPO TAYARI KUSHITAKIWA KISHERIA PAMOJA NA KULIPIA FIDIA YA UPOTEVU NA UHARIBIFU HUO.
NI MARUFUKU KWA DEREVA YOYOTE KUTOA GARI NJE YA NJIA AMBAYO AMEPANGIWA NA OFISI (“SHORT TRIP”). GARI NILIYOKABIDHIWA HAINA TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI NA NIMERIDHIKA NAYO KWA SAFARI NATAKIWA NIENDE NAYO NA IPO KWENYE DHAMANA YANGU NA IRUDI GARI HIYO IKIWA KWENYE HALI NZURI NILIYOKABIDHIWA(GARI NA TELA LAKE PAMOJA NA TURUBAI 2 ZA KUFUNIKIA NI NZURI) NA NIFIKISHE HAPA OFISINI SALAMA.PAMOJA NA UTHIBITISHO WA KARATASI ZA MZIGO NA RISITI ZA MPAKANI.
SI RUHUSA (MARUFUKU) GARI KUMPA DEREVA MWINGINE ASIYEHUSIKA KUENDESHA AU TANIBOI.
MIMI DEREVA {{$view_trip_performance->driver}} NIKIWA NA AKILI TIMAMU NAKUBALIANA NA YOTE HAYO YALIYOANDIKWA NA NIMEPAKIA MZIGO SALAMA KWA IDADI KAMILI NA KILA KITU KATIKA GARI NI SAFI NA NIKO TAYARI KWA SAFARI.
{{$view_trip_performance->driver}}
JINA LA DEREVA
…………………………………………… |
…………………………………………… |
SAHIHI |
DOLE |