{{$view_trip_performance->document_number}}
TAREHE: {{\Carbon\Carbon::now()->day}} / {{\Carbon\Carbon::now()->month}} / {{\Carbon\Carbon::now()->year}}
YAH; DHAMANA YA GARI NA MZIGO KWA DEREVA
MIMI {{$view_trip_performance->driver}} NINAYENDESHA GARI NA {{$view_trip_performance->truck}} NA TELA NA {{$view_trip_performance->trailer}} NIMEPEWA DIESEL LITA ……………. KWA AJILI YA SAFARI KWENDA KUTOKA MOROGORO KWENDA NA MZIGO WA DIESEL LITA {{number_format($view_trip_performance->loading_quantity)}} LUSAKA-ZAMBIA, NA NITARUDI MOROGORO TUPU BAADA YA KUPOKELEWA NA KAMPUNI HUSIKA.
{{--
--}}
DIESEL NILIYOPEWA NIMERIDHIKA NAYO NA INANITOSHA KWA SAFARI YOTE NILIYO PANGIWA. PIA DIESEL HII IPO CHINI YA DHAMANA YANGU NA WIZI WOWOTE UTAKAOTOKEA AU UPOTEVU/WIZI WOWOTE WA MZIGO WA DIESEL UTAKAPOTOKEA NIPO TAYARI KUSHITAKIWA KISHERIA PAMOJA NA KULIPIA FIDIA YA UPOTEVU HUO. MZIGO NATAKIWA NIUKABIDHI KAMA NILIVYOKABIDHIWA NILIPOUPAKIA NA KUTOKUFANYA IVYO NI WIZI NA NITAWAJIBIAKA KISHERIA KWA KUSHTAKIWA MAHAKAMANI AU KULIPA HASARA HIYO. PIA NATAKIWA KUKABIDHI MZIGO KIMAANDISHI KWA KUWEKA SAHIHI, IKIWA NIMEKUBALIANA NAO, UKIWA BILA UPUNGUFU WOWOTE
NA NITAFUATA MASHARTI YOTE NILIYOPEWA YA KUTOSIMAMA OVYO, NA KUTOPAKIA MTU YEYOTE, KUTOVUTA SIGARA NA USAFI WA GARI.
GARI HII HAINA TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI NI MPYA NA NEMERIDHIKA NAYO KWA SAFARI NATAKIWA NIENDE NAYO NA IPO KWENYE DHAMANA YANGU KAMA DEREVA NA IRUDI GARI HIYO IKIWA KWENYE HALI NZURI NILIYOKABIDHIWA NA NIFIKISHE HAPA OFISINI SALAMA.
STAKABADHI ZOTE NA KARATASI ZOTE KUANZIA ZA MZANI, ZILIZOPOKELEWA MZIGO NA BORDERS FEES ZOTE WAKATI WA KURUDI ZIKABIDHIWE OFISINI.
GARI LAKO LINATAKIWA LISIACHANE NA MENGINE KWENYE SAFARI YAKE (ZIONGOZANE PAMOJA) WAKATI WA KWENDA NA KURUDI KUTOKA DSM – LUSAKA-ZAMBIA NA LUSAKA-ZAMBIA - DSM.
MIMI DEREVA {{$view_trip_performance->driver}} NAKUBALIANA NA YOTE HAYO YALIYOANDIKWA NIKIWA NA AKILI TIMAMU.
{{$view_trip_performance->driver}}
JINA LA DEREVA
…………………………………………… ……………………………………………
SAHIHI DOLE